Nenda kwa yaliyomo

Michael Dell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michael Dell
Michael Dell
Michael Dell
Alizaliwa 23 Februari 1965
Nchi Marekani
Kazi yake mfanyabiashara

Michael Saul Dell (alizaliwa Houston, Texas, 23 Februari 1965) ni mfanyabiashara wa Marekani. Aliunda kampuni ya teknolojia ya kompyuta Dell. Aliorodheshwa kama mtu tajiri zaidi wa 41 duniani. Dell ana dola za Kimarekani bilioni 19.9.

Dell alizaliwa kwenye familia ya Wayahudi. Dell aliondolewa kwenye Chuo Kikuu cha Texas huko Austin.

Dell alimuoa Susan Lieberman mwaka 1989 na wana watoto wanne.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Dell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.