Mbayuwayu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Delichon)
Jump to navigation Jump to search
Mbayuwayu
Mbayuwayu michirizi mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Hirundinidae (Ndege walio na mnasaba na mbayuwayu)
Jenasi: Atticora Boie, 1844

Cecropis
Cheramoeca Cabanis, 1850
Delichon Horsfield & Moore, 1854
Haplochelidon Todd, 1929
Hirundo Linnaeus, 1758
Neochelidon P.L. Sclater, 1862
Notiochelidon S.F. Baird, 1865
Petrochelidon Cabanis, 1850
Phedina Bonaparte, 1855
Progne Boie, 1826
Psalidoprocne Cabanis, 1850
Pseudhirundo Sundevall, 1850
Pseudochelidon Hartlaub, 1861
Ptyonoprogne Reichenbach, 1850
Riparia T. Forster, 1817
Stelgidopteryx S.F. Baird, 1858
Tachycineta Cabanis, 1850

Spishi: Angalia katiba

Mbayuwayu au vijumbamshale ni ndege wa familia Hirundinidae. Spishi nyingine zinaitwa kinega au kizelele. Wanafanana na teleka lakini hawa wako katika oda yao yenyewe, Apodiformes. Mbayuwayu wana miguu mifupi kama teleka lakini mabawa yao ni mafupi zaidi na spishi nyingi zina rangi kama nyekundu, buluu na/au zambarau. Hutua mara kwa mara. Hukamata wadudu wakiruka angani.

Spishi kadhaa huyataga mayai yao ndani ya mashimo asilia au matundu yaliyoachwa na vigong'ota. Spishi nyingi nyingine hulichimba tundu lao katika maada isiyo gumu k.m. ukingo wa mto. Spishi za jenasi Hirundo, Ptyonoprogne, Cecropis, Petrochelidon na Delichon hulijenga tundu lao la matope kupambana na ukuta wa jabali au jengo kwa kawaida karibu na sehemu inayochomoza kama paa la jengo. Jike huyataga mayai 2-5.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]