David de Gea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
degea
David de Gea

David de Gea, (amezaliwa 7 Novemba 1990) ni mchezaji mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Hispania; pia anachezea timu ya ligi kuu ya Uingereza.

Mchezaji huyu alichezea katika timu ya Barcelona akitokea Atletico Madrid na kisha kwenda Manchester United.

Kwa sasa mchezaji huyu anachezea nafasi ya golikipa na huvaa namba moja mgongoni.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David de Gea kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.