Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Archuleta
Studio album ya David Archuleta
Imetolewa
Novemba 11, 2008 (2008-11-11 ) (tazama historia ya kutolewa )
Imerekodiwa
2008
Aina
Pop , R&B , pop rock , pop ya vijana
Urefu
44:28
Lebo
Jive
Mtayarishaji
David Archuleta , Emanuel Kiriakou , David Hodges , Steve Kipner , Steve McEwan, Wayne Wilkins , Mike Krompass, Matthew Gerrard , Robbie Nevil , Antonina Armato, Tim James , Midi Mafia , Dapo Torimiro , Desmond Child , Andreas Carlsson , JC Chasez , Jimmy Harry , Eric Rosse .
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za David Archuleta
Single za kutoka katika albamu ya David Archuleta
"Crush " Imetolewa: 12 Agosti 2008
"A Little Too Not Over You " Imetolewa: 6 Januari 2009
"Touch My Hand " Imetolewa: 6 Juni 2009
David Archuleta ni albamu ya kujiita ya mshindi wa American Idol ya msimu wa 7 mshindani David Archuleta .[ 1] Ilitolewa mnamo tar. 11 Novemba 2008, nchini Marekani, ikiwa chini ya studio ya Jive Records . Albamu ilitunukiwa Dhahabu na RIAA (kwa kuuza nchi za nje kopi 500,000) mnamo 29 Januari 2009.[ 2] Single ya kwanza kutoka kwenye albamu hiii ni "Crush ", ilitolewa kwenye maredio mnamo tar. 1 Agosti. Albamu ilitolewa nchini Uingereza mnamo tar. 11 Mei mwaka wa 2009.
Mtunzi (wa)
1.
"Crush " J. Cates, D. Hodges, E. Kiriakou
3:32
2.
"Touch My Hand " S. Kipner, S. McEwan, W. Wilkins
4:21
3.
"Barriers" S. Kipner, S. McEwan, W. Wilkins
3:50
4.
"My Hands" Z. Bey, J. Fauntleroy, E. Kiriakou
4:04
5.
"A Little Too Not Over You " D. Archuleta, M. Gerrard, M. Krompass, R. Nevil
3:18
6.
"You Can" A. Armato, T. James
3:42
7.
"Running" J. Fauntleroy, K. Risto, W. Nugent, S. Russell, D. Torimiro
3:35
8.
"Desperate" A. Carlsson, D. Child, K. Rethwisch, A. Rethwisch
3:41
9.
"To Be with You" K. DioGuardi, E. Kiriakou
3:25
10.
"Don't Let Go" D. Archuleta, J. Chasez, J. Harry
3:47
11.
"Your Eyes Don't Lie" A. Armato, T. James, D. Karaoglu
3:04
12.
"Angels" G. Chambers, R. Williams
4:09
Mtunzi (wa)
13.
"Waiting for Yesterday" David Hodges, Steven McMorran, Joy Williams
3:27
14.
"Falling" David Archuleta
4:32
15.
"Let Me Go" Thomas Meredith, Sheppard Solomon
3:46
16.
"Somebody Out There (pre-order only)" David Archuleta, Mike Krompass, Steve Diamond
3:42
Mtunzi (wa)
7.
"Works for Me!" David Archuleta, Daniel Bedingfield , Toby Lightman
3:17
11.
"Waiting for Yesterday" David Hodges, Steven McMorran, Joy Williams
3:27
13.
"Save the Day (Bonus Track)" M. Seminari, C. Nielsen, D. Baker
3:53
14.
"Crush (Blast Off Productions Radio Remix) (Bonus Track)" Jess Cates, David Hodges, Emanuel Kiriakou
4:01
Nchi
Tarehe
Hong Kong
10 Novemba 2008
Indonesia
Singapore
Korea Kusini
11 Novemba 2008
Marekani
Kanada
Ufilipino
Malaysia
17 Novemba 2008
Australia
6 Desemba 2008
Taiwan
12 Desemba 2008[ 3]
Japan
25 Februari 2009
Brazil
11 Machi 2009
Uingereza
11 Mei 2009[ 4]
Nchi
Matunukio
Mauzo
Marekani
Dhahabu
734,000[ 7]
Albamu zake EP The AOL Sessions 2008 · David Archuleta: American Idol EP · Fan Pack EP
Single Single nyingine "Angels"
Nyimbo nyingine Ziara American Idols LIVE! Tour 2008 · David Archuleta Solo Tour 2009 · Demi Lovato Summer Tour 2009
Makala zinazohusiana
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu David Archuleta (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .