Dario Fo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dario Fo
Tuzo Nobel.png

Dario Fo (24 Machi 1926 - 13 Oktoba 2016) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Italia. Mwaka wa 1997 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dario Fo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.