Daraja la Samora Machel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Daraja la Samora Machel
Kiingereza: Samora Machel Bridge
Kireno: Ponte Samora Machel
Majina mengine Daraja la Tete
Yabeba Barabara ya A103
Yavuka Mto Zambezi
Mahali Tete na Moatize
Msanifu majengo Edgar Cardoso
Aina ya daraja Suspension bridge
Urefu mita 762
Idadi ya nguzo 5
Yafuatiwa na Daraja la Dona Ana
Anwani ya kijiografia 16°09′18″S 33°35′37″E / 16.155°S 33.59361°E / -16.155; 33.59361
Daraja la Samora Machel is located in Msumbiji
Daraja la Samora Machel

Daraja la Samora Machel ni daraja linalovuka Mto Zambezi nchini Msumbiji.