Daraja la Armando Emilio Guebuza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Daraja la Armando Emilio Guebuza
Kiingereza: Armando Emilio Guebuza Bridge
Kireno: Ponte Armando Emílio Guebuza
Majina mengine Daraja la Mto Zambezi
Yabeba Barabara kuu ya EN1 (leni 2)
Yavuka Mto Zambezi
Mahali Caia, Msumbiji
Msimamizi National Road Administration
Mbunifu wa mradi WSP Group
Aina ya daraja Box girder bridge
Urefu mita 2,376
Upana mita 16
Idadi ya nguzo 6
Mjenzi Mota-Engil
Soares da Costa
Ujenzi ulianza Disemba 2005
Gharama za ujenzi € 66 milioni
Kilizinduliwa 1 Agosti 2009
Gharama ya kuvuka US$ 3 (magari madogo)
US$ 30 (lori)
Yatanguliwa na Daraja la Dona Ana
Badala ya Huduma ya kivuko
Anwani ya kijiografia 17°48′29″S 35°23′51″E / 17.8081°S 35.3975°E / -17.8081; 35.3975
Daraja la Armando Emilio Guebuza is located in Msumbiji
Daraja la Armando Emilio Guebuza

Daraja la Armando Emilio Guebuza ni daraja linalovuka Mto Zambezi nchini Msumbiji.