Daraja la Kisiwa cha Msumbiji
Mandhari
Daraja la Kisiwa cha Msumbiji English: Mozambique Island Bridge | |
---|---|
![]() | |
Yabeba | Leni 1 |
Yavuka | Bahari ya Hindi |
Mahali | Kisiwa cha Msumbiji |
Msimamizi | National Road Administration |
Vifaa vya ujenzi | Saruji |
Urefu | mita 3,800 |
Anwani ya kijiografia | 15°02′40″S 40°42′33″E / 15.04444°S 40.70917°E |
Daraja la Kisiwa cha Msumbiji ni daraja yenye urefu wa kilomita 3.8 linalovuka Bahari ya Hindi nchini Msumbiji. Inaunganisha Kisiwa cha Msumbiji na bara la nchi hiyo.
![]() |
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |