Daniel Amneus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Amneus

Daniel Amneus (15 Oktoba 1919 – 18 Desemba 2003) alikuwa profesa wa somo la Kiingereza katika chuo kikuu cha California State University huko Los Angeles. Alibobea katika kukosoa maandishi ya Shakespeare. Ndiye mtu pekee aliyeorodheshwa katika vitabu vya Who's Who of American Women.[1]

Kulingana na Richard Doyle, mhariri wa The Liberator na mwandishi wa kitabu The Rape of the Male, na rais wa Men's Defense Association, "Amneus alikuwa mwananadharia na msemaji wa haki za baba na harakati za haki za wanaume".[2]

Amneus aliandika vitabu vya The Case for Father Custody na The Garbage Generation.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Daniel Amneus". Men's Defense. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-22. Iliwekwa mnamo 1 Julai 2013. 
  2. 2.0 2.1 "The Case for Father Custody". Amazon. Iliwekwa mnamo 1 Julai 2013. 
  3. "The Garbage Generation". Amazon. Iliwekwa mnamo 1 Julai 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Amneus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.