Daisy Nakaziro
Mandhari
| Daisy Nakaziro | |
| Amezaliwa | 2 Septemba 1997 Uganda |
|---|---|
| Nchi | Uganda |
| Kazi yake | Mwanamichezo, mpira wa miguu |
Daisy Nakaziro (alizaliwa 1997 au 1998) ni raia wa Uganda ambaye anacheza kama golikipa (Mlinda Mlango) wa chama cha soka wa klabu ya Lady Doves FC na timu ya kandanda ya Taifa ya wanawake wa nchini Uganda.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ahmed Marsha (2022-01-25). "FUFA: Federation of Uganda Football Associations Coach Lutalo names Crested Cranes provisional squad ahead of AWCON Qualifiers against Kenya". FUFA: Federation of Uganda Football Associations (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-02-06.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daisy Nakaziro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |