Dagmar Damková

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dagmar Damková mnamo 2011

Dagmar Damková (alizaliwa 29 Desemba 1974) alikua mwamuzi wa mpira wa miguu wa jamhuri ya Ucheki, pia alikua mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ya FAČR, [1] [2] mjumbe wa kamati ya utendaji ya FAČR, mwenyekiti wa kamati ya soka la Wanawake wa Ucheki, [3] mjumbe wa kamati ya waamuzi ya UEFA [4] na mjumbe wa kamati ya waamuzi ya FIFA . [5]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Alihitimu katika fakati ya elimu katika Chuo Kikuu cha West Bohemia na shahada ya lugha ya Kiingereza. [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Damková bude novou šéfkou komise rozhodčích. Macela končí", ihned.cz, 5 September 2011. Retrieved on 3 September 2015. (cs) 
  2. "Nečekaný konec. Damková už není šéfkou komise rozhodčích", sport.cz, 31 March 2016. Retrieved on 31 March 2016. (cs) 
  3. "Poněkud rušné léto Dagmar Damkové", denik.cz, 8 August 2009. Retrieved on 3 September 2015. (cs) 
  4. "ROZHODČÍ: Dagmar Damková udržela post v UEFA. V komisi sudích bude další 4 roky", jenprofotbal.cz, 6 July 2015. Retrieved on 3 September 2015. (cs) 
  5. "Damkovou zvolili do komise rozhodčích FIFA. Obrovská čest, říká", idnes.cz, 19 January 2017. Retrieved on 19 January 2017. (cs) 
  6. "Přijďte si poslechnout růži mezi trny", zcu.cz, 12 November 2012. Retrieved on 4 September 2015. (cs) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dagmar Damková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.