Nenda kwa yaliyomo

Dafu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dafu iliyokatwa tayari kwa kunywewa.
Majimaji ya dafu.

Dafu ni nazi ambayo haijakomaa hadi hali ya koroma, hivyo majimaji yake ni mazito zaidi na yanatumika kama kinywaji.

Katika mazingira mbalimbali maji ya dafu hutumika pia kama dawa, kwa mfano kwa mtu mwenye kisukari, tumbo la kuhara au upungufu wa homoni, hususan zile zinazotengenezwa na kongosho kwa ajili ya kuuongezea mwili nguvu. Hata hivyo hakuna uthibitisho wa kisayansi.

Pia dafu hutumika kama kinywaji cha kutengeneza sauti kwa watoto wachanga ili waje kuwa waongeaji.

Hivyo dafu lina umuhimu, ila kama tunavyojua kilichozidi kina madhara, ndivyo ilivyo hadi kwenye dafu kuna madhara ukinywa kwa wingi mno: kwa mfano huko India wananywesha wazee wagonjwa lita kadhaa za maji hayo hadi wakafa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dafu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.