DJ Speedsta
Lesego Nkaiseng (alizaliwa 4 Mei, 1992), anajulikana zaidi kama DJ Speedsta, ni DJ wa nchini Afrika Kusini na mhusika katika televisheni kutoka Johannesburg. Anajulikana zaidi kwa wimbo wake wa " Mayo ". [1][2]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Mnamo Aprili 2015, alijiunga na YFM kuandaa vipindi viwili vya The Hip Hop Floor na Hot 9Nine - Hip Hop . [3] Mnamo mwaka 2017, alijiunga pia na Metro FM kutangaza muziki wa Hip Hop. [3] Mnamo Januari 25, 2019, albamu yake ya kwanza ya Bottlebrush Street ilitolewa. [4] Albamu hiyo ilihusisha wanamuziki kama Zoocci Coke Dope, Casper Nyovest na Riky Rick . [5] Katika tuzo za 2019 za DStv Mzansi Viewers Choice aliteuliwa kuwa DJ anaependwa zaidi. [6] Mwaka uliofuata katika tuzo za Hip Hop za 2020 za Afrika Kusini, aliteuliwa kuwa DJ Bora. [7]
Mnamo Julai 9, mwaka 2021, aliandaa kipindi cha muziki cha SABC 1 Live Amp pamoja na DJ Lamiez. [8]
Mnamo mwaka 2021, alishiriki msimu wa 6 wa shindano la kuonyesha vipaji la 1 na 2 kwenye SABC 1 . [9]
Mnamo Agosti 13, mwaka 2021, wimbo wake wa "Pardon My French" aliomshirikisha Zoocci Coke Dope & Lucasraps ulitolewa. [10] Speedsta alipokea uteuzi wa DJ Bora wa Mwaka katika Tuzo za Hip Hop za mwaka 2021 za Afrika Kusini. [11]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Congrats flood in for DJ Speedsta as his single Mayo goes gold". channel24. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.monsterenergy.com/bands/dj-speedsta
- ↑ 3.0 3.1 "DJ Speedsta joins Metro Fm to host a new show with Lootlove | YoMzansi".
- ↑ Ntsinde, Mandisa. "NEW: DJ Speedsta Drops Long Awaited Debut Album, Bottlebrush Street". Zkhiphani.
- ↑ "Listen to DJ Speedsta's new album, BottlebrushStr". 28 Januari 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-26. Iliwekwa mnamo 2022-04-26.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Mzansi Magic - The DStvMVCA Favourite DJ nominees are dynamite!". Mzansi Magic. Desemba 11, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Seroto, Butchie (13 Desemba 2020). "SA Hip Hop Awards 2020: All the winners | Music In Africa". Music In Africa.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Mbhele, Sandisiwe. "The Celebs that 'Live Amp' gave us - The Citizen". The Citizen. Iliwekwa mnamo Julai 9, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Speedsta And DJ Tira Join 1s And 2s Season Six - ZAlebs". Zalebs. Machi 14, 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-26.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "DJ Speedsta Drops New 'Pardon My French' Joint Ft. Zoocci Coke Dope & Lucasraps | Hype Magazine". Hype Magazine.
- ↑ "Full list of 2021 SA Hip Hop Awards nominees | Fakaza News". Fakaza News. Iliwekwa mnamo Novemba 2, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu DJ Speedsta kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |