Clive Barker (mwanasoka)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clive William Barker (23 Juni 1944 - 10 Juni 2023) alikuwa mkufunzi wa kandanda wa Afrika Kusini . Aliiongoza timu ya taifa ya Afrika Kusini kutwaa taji lao pekee la Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1996. Alikuwa mjomba wa Steve Barker (Mwanasoka).

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Barker alizaliwa Durban, KwaZulu-Natal . Alikuwa mchezaji wa kulipwa katika miaka ya 1960, akichezea Durban City na Durban United baada ya kucheza mechi yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 17. Alifanya majaribio na Leicester City, lakini jeraha kubwa la goti lilimaliza kazi yake haraka.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clive Barker (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. FIFA.com – Clive Barker's Success With South Africa