T.I.
T.I. | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | T.I. |
Nchi | Marekani |
Alizaliwa | 25 Septemba 1980 |
Aina ya muziki | Hip hop na rap |
Kazi yake | Mwanamuziki Mtunzi wa nyimbo Mwigizaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 2001 - hadi leo |
Ameshirikiana na | Young Jeezy Young Dro Lil Wayne B.G. DJ Drama Nelly Busta Rhymes Ciara Rick Ross Kanye West B.o.B. |
Ala | Sauti Kinanda |
Kampuni | Grand Hustle Records Atlantic Records |
Clifford Joseph Harris Jr. (amezaliwa tar. 25 Septemba 1980) ni rapa wa muziki a hip hop, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio ya Grand Hustle Records. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama T.I. pia humwita T.I.P.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]T.I. ni rapa Mwafrika-Mwamerika kutoka mitaa ya Westside Bankhead Zone 1 Kusini mwa Marekani. Jina lake halisi la kisanii ni T.I.P., linatokana jina lake la utani wakati wa udogo wake "Tip", ambalo alipewa na babu yake.
Kuvuma kwake kwa, kulipelekea washabiki wake kulichukua jina lake "poa poa", ikamlazimu kulibadilisha na kuliita "T.I.P". Pindi alipotia saini mkataba na studio ya Arista Records inayosaidiwa na studio ya LaFace Records mnamo 2001, akalifupisha jina lake na kuliita T.I. kwa heshima na taazima ya mwanamuziki mwezake aitwaye Q-Tip.
Pia anafahamika kwa mtindo wake wa kutembea na "Rababendi" na kujitangazia kuwa yeye ndiyo "Mfalme wa Kusini" (ambapo imeleta matatizo mengi ya hapa na pale na baadhi ya marapa wengine waishio kusini humo). T.I. ana watoto watano. Majina yao ni Messiah Ya'Majesty Harris, Domani Uriah Harris, Deyjah Harris, Clifford Joseph "King" Harris III, na Major Harris.
Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu zake
[hariri | hariri chanzo]- 2001: I'm Serious
- 2003: Trap Muzik
- 2004: Urban Legend
- 2006: King
- 2007: T.I. vs. T.I.P.
- 2008: Paper Trail
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Televisheni
[hariri | hariri chanzo]- 2005: The O.C.]], T.I.
- 2006: The Fuse, T.I. akiwa na Timothy Hodge na Erica Newell
- 2005: Punk'd, T.I.
- 2008: Entourage
Filamu za kawaida
[hariri | hariri chanzo]- 2006: ATL, Rashad Swann
- 2007: American Gangster, Stevie Lucas
- 2008: Once Was Lost, Slam
- 2008: For Sale[1]
- 2009: Fast and Furious, Troy
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- T.I. official site Ilihifadhiwa 4 Machi 2011 kwenye Wayback Machine.
- T.I. katika MySpace
- T.I. at the Internet Movie Database
- T.I. katika All Music Guide