Claudie Titty Dimbeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Claudie Titty Dimbeng
Jina la kuzaliwa Claudie
Nchi Ivory Coast

Claudie Titty Dimbeng (alizaliwa Abidjan, 1968) ni msanii wa Ivory Coast, ambaye anaishi Paris tangu 1987. Kazi yake ya sanaa imeonyeshwa sana barani Afrika na Ulaya. Mnamo mwaka 2012, aliiwakilisha nchi yake katika maonyesho ya Wiki ya Afrika katika makao makuu ya UNESCO, Paris.[1][2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Dimbeng ni mtoto Ivorian Monique née Wirth na Manouan Adonit, baba yake niMmfararansa ambaye alikuwa balozi wa Ivory Coast. Kwa sababu ya majukumu ya baba yake kipindi cha utoto wake aliishi sana Ujerumani na Austria. Alikua na matumaini makubwa ya kuwa mchoraji japo baba yake alikua hapendi.

Alisoma katika shule ya Académie Charpentier (19861987) na kisha baadae aliendelea kusoma muasuala ya usanifu wa mambo ya ndani katika katika shule ya cole Supérieure des Arts Modernes (1987 – 1991).[3] Mnamo mwaka 1999, aliamua kuzijikita katika sanaa ya uchoraji[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Claude Titty Dimbeng (French). Lazareff Le Bars: MIDAA, No. 6 (8 July 2015). Iliwekwa mnamo 26 February 2021.
  2. Deuzèmes, Jean (2020). Claudie Titty Dimbeng. Le Passage (French). Voie & Dire. Iliwekwa mnamo 26 February 2021.
  3. Galerie Arts Pluriels, vitrine culturelle de la scène artistique ivoirienne (French). 100% culture.com (12 September 2013). Iliwekwa mnamo 26 February 2021.
  4. M. Manouan L’Ambassadeur ADONIT (French). Necrologie-ci (2006). Iliwekwa mnamo 26 February 2021.[dead link]