Citizen TV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Citizen Tv
Imeanzishwa Novemba 5 1999 (1999-11-05) (umri 20)
Mwanzilishi SK Macharia
Nchi Kenya
Mahala Nairobi,Kenya
Tovuti http://Citizentv.com

Citizen TV ni kituo cha kurushia matangazo ya televisheni kutoka nchini Kenya. Kituo kinamilikiwa na kampuni ya Royal Media Services ya nchini Kenya.

Programu[hariri | hariri chanzo]

Programu za hivi sasa[hariri | hariri chanzo]

  • Inspekta Mwala (2007- hadi sasa)
  • Tahidi High
  • Papa Shirandula (2007- hadi sasa)
  • Machachari (2011- hadi sasa)
  • Mother-in-law (2007- hadi sasa)

Orodha ya Stesheni za Redio[hariri | hariri chanzo]

Usimamizi[hariri | hariri chanzo]

Meneja[hariri | hariri chanzo]

Samuel Kamau Macharia

Mkuu wa operesheni[hariri | hariri chanzo]

Farida Karoney

|[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]