Armadilo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Cingulata)
Armadilo | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Armadilo mishipi-tisa (Dasypus novemcinctus)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Familia 4:
|
Armadilo (kutoka Kihispania: armadillo) ni wanyama wadogo wa Amerika wenye mabamba ya mifupa juu ya mgongo yao. Wanafanana na kakakuona wa Afrika na Asia kijuujuu.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]Oda CINGULATA
- Familia Chlamyphoridae
- Nusufamilia Chlamyphorinae
- Jenasi Calyptophractus
- Calyptophractus retusus, Armadilo Kichimbakazi Mkubwa (Greater fairy armadillo)
- Jenasi Chlamyphorus
- Chlamyphorus truncatus, Armadilo Kichimbakazi Pinki (Pink fairy armadillo)
- Jenasi Calyptophractus
- Nusufamilia Euphractinae
- Jenasi Chaetophractus
- Chaetophractus vellerosus, Armadilo-manyoya Mpiga-yowe (Screaming hairy armadillo)
- Chaetophractus villosus, Armadilo-manyoya Mkubwa (Big hairy armadillo)
- Chaetophractus nationi, Armadilo-manyoya wa Andes (Andean hairy armadillo)
- Jenasi Euphractus
- Euphractus sexcinctus, Armdilo Mishipi-sita (Six-banded armadillo)
- Jenasi Zaedyus
- Zaedyus pichiy, Armadilo Pichi (Pichi)
- Jenasi Chaetophractus
- Nusufamilia Tolypeutinae
- Jenasi Cabassous
- Cabassous centralis, Armadilo Mkia-uchi Kaskazi (Northern naked-tailed armadillo)
- Cabassous chacoensis, Armadilo Mkia-uchi wa Chako (Chacoan naked-tailed armadillo)
- Cabassous unicinctus, [[Armadilo Mkia-uchi Kusi (Southern naked-tailed armadillo)
- Cabassous tatouay, Armadilo Mkia-uchi Mkubwa (Greater naked-tailed armadillo)
- Jenasi Priodontes
- Priodontes maximus, Armadilo Mkubwa (Giant armadillo)
- Jenasi Tolypeutes
- Tolypeutes matacus, Armadilo Mishipi-mitatu Kusi (Southern three-banded armadillo)
- Tolypeutes tricinctus, Armadilo Mishipi-mitatu wa Brazili (Brazilian three-banded armadillo)
- Jenasi Cabassous
- Nusufamilia Chlamyphorinae
- Familia Dasypodidae
- Nusufamilia Dasypodinae
- Jenasi Dasypus
- Dasypus novemcinctus, Armadilo Mishipi-tisa (Nine-banded armadillo au Long-nosed armadillo)
- Dasypus septemcinctus, Armadilo Mishipi-saba (Seven-banded armadillo)
- Dasypus hybridus, Armadilo Pua-ndefu Kusi (Southern long-nosed armadillo)
- Dasypus sabanicola, Armadilo Pua-ndefu wa Llanos (Llanos long-nosed armadillo)
- Dasypus kappleri, Armadilo Pua-ndefu Mkubwa (Great long-nosed armadillo)
- Dasypus pilosus, Armadilo Pua-ndefu Manyoya (Hairy long-nosed armadillo)
- Dasypus yepesi, Armadilo wa Yepes (Yepes's mulita)
- Jenasi Dasypus
- Nusufamilia Dasypodinae
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Armadilo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |