Chura-filimbi
Mandhari
Chura-filimbi | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chura-filimbi wa Marimba (Arthroleptis xenochirus)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Vyura-filimbi ni aina za vyura wa jenasi Arthroleptis katika familia Arthroleptidae ambao sauti yao ni kama filimbi. Vyura hawa ni wadogo sana: mm 15-55. Huishi katika takataka za majani ambapo hula wadudu wadogo kama sisimizi na mchwa.
Spishi za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Arthroleptis adolfifriederici, Chura-filimbi Mashariki (Eastern forest squeaker)
- Arthroleptis affinis, Chura-filimbi wa Amani au wa Ahl (Amani squeaker)
- Arthroleptis anotis, Chura-filimbi wa Pare (Chome Forest squeaker)
- Arthroleptis fichika, Chura-filimbi Fichika (Hidden squeaker)
- Arthroleptis kambai, Chura-filimbi wa Kambai (Kambai squeaker)
- Arthroleptis kidogo, Chura-filimbi Mdogo (Tiny squeaker)
- Arthroleptis kutogundua, Chura-filimbi Kutogundua (Overlooked squeaker)
- Arthroleptis lameerei, Chura-filimbi wa Lameer (Lameer's squeaker)
- Arthroleptis lonnbergi, Chura-filimbi Pwani (Lonnberg's squeaker)
- Arthroleptis mossoensis, Chura-filimbi wa Mosso (Mosso screeching frog)
- Arthroleptis nguruensis, Chura-filimbi wa Nguru (Nguru Mountains squeaker)
- Arthroleptis nikeae, Chura-filimbi wa Rubeho au wa Nike (Nike's squeaker)
- Arthroleptis poecilonotus, Chura-filimbi Madoa (Mottled squeaker)
- Arthroleptis reichei, Chura-filimbi wa Uporoto (Reiche's squeaker)
- Arthroleptis schubotzi, Chura-filimbi wa Schubotz (Schubotz's squeaker)
- Arthroleptis stenodactylus, Chura-filimbi Miguu-sepetu (Common squeaker)
- Arthroleptis tanneri, Chura-filimbi wa Tanner (Tanner's squeaker)
- Arthroleptis xenochirus, Chura-filimbi wa Marimba (Plain squeaker)
- Arthroleptis xenodactylus, Chura-filimbi wa Usambara (Eastern squeaker)
- Arthroleptis xenodactyloides, Chura-filimbi Kibete (Dwarf squeaker)
Spishi za pande nyingine za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Arthroleptis adelphus (Foulassi screeching frog)
- Arthroleptis aureoli (Freetown long-fingered frog)
- Arthroleptis bioko (Bioko squeaker)
- Arthroleptis bivittatus (Tombo Island screeching frog)
- Arthroleptis brevipes (Togo screeching frog)
- Arthroleptis carquejai (Carqueja's squeaker)
- Arthroleptis crusculum (Guinea screeching frog)
- Arthroleptis discodactylus (Laurent's screeching frog)
- Arthroleptis formosus (Beautiful squeaker)
- Arthroleptis francei (Ruo River screeching frog)
- Arthroleptis itombwe (Itombwe screeching frog)
- Arthroleptis krokosua (Krokosua screeching frog)
- Arthroleptis kutogundua (Overlooked squeaker)
- Arthroleptis langeri (Langer's squeaker)
- Arthroleptis loveridgei (Loveridge's sreeching frog)
- Arthroleptis nimbaensis (Mount Nimba screeching frog)
- Arthroleptis nlonakoensis (Mountain Nlonako screeching frog)
- Arthroleptis palava (Problem squeaker)
- Arthroleptis perreti (Perret's squeaker)
- Arthroleptis phrynoides (Lomami screeching frog)
- Arthroleptis pyrrhoscelis (Kivu screeching frog)
- Arthroleptis spinalis (Lake Tanganyika screeching frog)
- Arthroleptis sylvaticus (Forest screeching frog)
- Arthroleptis taeniatus (Striped screeching frog)
- Arthroleptis troglodytes (Cave squeaker)
- Arthroleptis tuberosus (Rainforest screeching frog)
- Arthroleptis variabilis (Buea screeching frog)
- Arthroleptis vercammeni (Mwana screeching frog)
- Arthroleptis wahlbergii (Wahlberg's humus frog)
- Arthroleptis zimmeri (Zimmer's screeching frog)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Foulassi screeching frog
-
Problem squeaker
-
Buea screeching frog
-
Wahlberg's humus frog