Chuo Kikuu cha Ouagadougou
Chuo Kikuu cha Ouagadougou ni chuo kikuu kilichopo Ouagadougou, Burkina Faso. kiliianzishwa mwaka1974, kilibadilishwa jina rasmi mwaka wa 2015 kama l'Université Ouaga 1 Professeur Ki-Zerbo.[1] UO ina Vitengo saba vya Mafunzo na Utafiti na taasisi moja. [2]Mwaka 2010 Chuo kikuu hicho kilikuwa na takriban wanafunzi 40,000.
Chuo Kikuu cha Ouagadougou kina Vitengo saba vya Mafunzo na Utafiti na taasisi moja: Lugha , Sanaa na Mawasiliano; Sayansi ya Binadamu; Sayansi ya Sheria na Siasa ; Sayansi ya Uchumi na Usimamizi ; Sayansi ya Afya na Taasisi ya Sanaa na Ufundi. Faida za kitivo ni mafundisho ya kimsingi na yale ya taasisi (utaalamu).[4]Mfumo unaotumika ni mfumo wa elimu wa msimu unaozingatia mikopo ya kitaaluma, ambayo inachanganya mafunzo ya kimsingi na ya kitaaluma.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ fi.fr/fr/afrique/20151227-burkina-faso-universite-ouagadougou-nom-professeur-ki-zerbo
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-05-03. Iliwekwa mnamo 2024-07-13.