Chisato Inoue
Mandhari
Chisato Inoue (alizaliwa 27 Oktoba 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Chisato alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 16 Oktoba 2021.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Yuka Anzai".
- ↑ "Scoresheet - 2021-22 Yogibo WE League" (PDF). 2021-10-16.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chisato Inoue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |