Nenda kwa yaliyomo

Chinwe Chukwuogo-Roy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chinwe Chukwuogo
Amekufa 17 Desemba 2012
Nchi Nigeria
Kazi yake Msanii

Chinwe Ifeoma Chukwuogo-Roy (2 Mei 1952[1]17 Desemba 2012)[2] alikuwa msanii wa sanaa ya uchoraji aliyezaliwa nchini Nigeria katika jimbo la Anambra lakini altumia muda wake mwingi wa maisha ya ujana katika mpaka wa nchi ya Kamerun kabla ya kurejea katika makazi ya familia yake huko Umubele na mwaka 1975 alikwenda kuishi Uingereza.[3]

Michoro yake, machapishio na michongo yake vimekuwa katika maumbo tofauti tofauti na kumfanya kuweza kuonekana zaidi kimataifa mwaka 2002 yeye pamoja na Ben Enwonwu walipata nafasi ya kufanya mchoro wa Malkia wa Elizabeth wa pili wa Uingereza[4] .[5]

Chukwuogo-Roy alichaguliwa kuwa mwanachama katika The Order of the British Empire (MBE) katika sherehe ya siku ya kuzaliwa mwaka 2009.

  1. "Chinwe Chukwuogo-Roy, M.B.E. (Nigerian, born 1952)", Bonham's, 16 Machi 2011.
  2. "Chinwe CHUKWUOGO-ROY M.B.E.: Death" Archived 7 Januari 2015 at the Wayback Machine, East Anglian Daily Times, 22 December 2012.
  3. Verna Wilkins, "Chinwe Chukwuogo-Roy obituary", The Guardian (London), Other Lives, 30 January 2013.
  4. Bosah, Chukwuemeka (2017). The art of Nigerian women. Okediji, Moyosore B. (Moyosore Benjamin). New Albany, Ohio. ISBN 978-0-9969084-5-0. OCLC 965603634.{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link)
  5. "Painter and illustrator Chinwe Chukwuogo-Roy passes away" Archived 1 Mei 2013 at the Wayback Machine, Nigerian Watch, 28 December 2012.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chinwe Chukwuogo-Roy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.