Chebakia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shebakia (Berber: ⵛⴻⴱⴱⴰⴽⵢⴰ Kiarabu: شباكية) au Chebakia ni keki ya asili ya Morocco[1] iliyotengenezwa kwa vipande vya unga uliokandwa, kukaanga hadi vibadilike kua na rangi ya dhahabu, kisha kupakwa maji ya majani machungwa na asali  na kunyunyiziwa ufuta.  Kwa kawaida huliwa wakati wa Ramadan.[2]  Chebakia inatokana utamaduni wa Ottoman. [3]

Keki kama hizi ni pamoja na Cartellate na Fazuelos, ingawa ya mwisho imeundwa kwa njia tofauti, na ni nyembamba na haina unene.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]