Charlotte Bolles Anthony

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Charlotte Bolles Anthony (pia alijulikana kama Lottie B. Anthony: Agosti 18 1841 - Julai 8 1877) alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Marekani.[1]

Anthony alikuwa mmoja wa wanawake 14 waliokamatwa na Susan B. Anthony baada ya kupiga kura kinyume cha sheria katika Rochester, N.Y. mnamo Novemba 5 mwaka 1872.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Buildings named after women on campus (20 March 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-02-24. Iliwekwa mnamo 2022-02-24.
  2. Indictment for Lottie B. Anthony | DocsTeach.
  3. History of the Federal Judiciary.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Bolles Anthony kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.