Chama cha Nazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Chama cha Nazi ni namna ya kutaja chama cha NSDAP kilichotawala Ujerumani wakati wa udikteta wa Adolf Hitler kati ya 1933 na 1945.

"Nazi" (tamka: na-tsi) ni kifupi cha Kijerumani kwa neno la "National" (matamshi ya Kijerumani: na-tsi-o-nal) inayomaanisha "kizalendo, kizawa". Jina la kamili ya NSDAP ilikuwa Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei (Chama cha Kizalendo - Kisoshialisti cha Wafanyakazi Wajerumani).

Chama chenyewe kilitumia pia kifupi cha "NS" kwa harakati yake na vitengo vyake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

NSDAP - makala yenyewe juu ya "chama cha Nazi"