Chadrac Akolo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chadrac Akolo (alizaliwa 1 Aprili 1995) ni mchezaji wa klabu ya VfB Stuttgart mbaye anacheza kama kiungo na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 1 Februari 2016, Akolo aliyezaliwa Kinshasa alijiunga na klabu ya Neuchâtel Xamax kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu wa 2015-16. Mnamo tarehe 9 Julai 2017, Akolo alisaini mkataba wa miaka minne(4) na VfB Stuttgart.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chadrac Akolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.