Caron Bernstein

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Caron Bernstein (alizaliwa Johannesburg, Afrika Kusini, 26 Agosti 1970) ni mwanamitindo, mwigizaji na mtunzi wa nyimbo Kutoka Afrika Kusini.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Caron Bernstein aliJishughulisha na uchoraji wakati akisoma katika Chuo cha Sanaa huko Johannesburg.Alipofika umri miaka kumi na minne alihamia New York alipopewa mkataba na kampuni ya uonyeshaji mitindo. Akiwa na miaka 23, Bernstein alibadilisha mwelekeo wake kutoka kwa kuonyesha mitindo hadi muziki, akisaini mikataba mitatu ya rekodi na lebo kuu wakati alikuwa na miaka 26.

Bernstein baadaye alirudi kwenye sanaa, akizingatia tabia zenye ugumu katika wahusika wa picha zake. Kazi yake amejumuisha wahanga wa kujiua, anorexia na alopecia. Ameelezea mtindo wake kama "ukweli nje ya kawaida" (surrealistic anime).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Caron Bernstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jamii:Waliozaliwa 1970 Jamii:Watu walio hai Jamii:Waigizaji filamu wa Afrika Kusini

kazi za sanaa[hariri | hariri chanzo]

  • Indiscretion (101) 2005 - Kristin
  • Operation Midnight Climax (film)|Operation Midnight Climax 2002 - Kali 'Bondgirl' Bond
  • Red Shoe Diaries|Red Shoe Diaries 18: The Game]] 2000 (V) - Lily (segment: "The Game")
  • Business for Pleasure 1997 - Isabel
  • Who's the Man? 1993- Kelly
  • Waxwork II: Lost in Time 1992 - The Master's Girl

Runinga[hariri | hariri chanzo]

  • "Red Shoe Diaries" - Art of Loneliness 1996 (TV episode) - Frances
  • "Red Shoe Diaries" - The Game 1994 (TV episode) - Lily

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]