Nenda kwa yaliyomo

Cara Delevingne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cara Delevingne

Cara Delevingne
Amezaliwa Cara Jocelyn Delevingne
12 Agosti 1992
Kazi yake mwigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo

Cara Jocelyn Delevingne (alizaliwa 12 Agosti 1992) ni mwigizaji, mwanamuziki na mwanamitindo. Aliimba na kampuni ya Storm Management baada ya kuacha shule mwaka 2009. Delevingne alishinda ulindembwe wa Uingereza ndani ya mwaka 2012 na 2014.

Delevingne alianza kazi yake ya kuigiza kama mhusika mkuu katika filamu ya Anna Karenina iliyoongozwa na Joe Wright, na sehemu nyingine anapooneka katika filamu kama Paper Towns (2015), filamu ya Suicide Squad (2016) na Laureline kama Luc Besson's Valerian and the City of a Thousand Planets (2017). Hizi ni baadhi ya filamu alizoonekana.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cara Delevingne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.