Calif Records

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Calif Records

Calif Records ni studio ya Kenya yenye makao yake katika mtaa wa California mjini Nairobi.

Inajulikana kuwa msingi wa Genge, aina ya muziki iliyopendwa na vijana.

Ilianzishwa mwaka 2000 na mtendaji wa rekodi & mtayarishaji Clement "clemo" rapudo pamoja na rafiki yake wa utotoni Paul Nunda anayejulikana kama Juacali (kwa sasa ni msanii maarufu Kenya). Ni kati ya studio mbili za muziki zinazoongoza nchini Kenya, hiyo nyingine ikiwa Ogopa Djs.

Orodha ya wasanii[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya wasanii ambao wamejisajili katika Calif Records kwa wasifu wa muziki yao

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]