Busem Şeker
Busem Şeker
Jinsia | mwanamke ![]() |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani, Uturuki ![]() |
Nchi anayoitumikia | Uturuki ![]() |
Jina katika lugha mama | Busem Şeker ![]() |
Jina halisi | Busem ![]() |
Jina la familia | Şeker ![]() |
Tarehe ya Kuzaliwa | 19 Julai 1998 ![]() |
Mahali alipozaliwa | Hamburg ![]() |
Lugha ya asili | Kituruki ![]() |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kituruki ![]() |
Kazi | association football player ![]() |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo ![]() |
Mwanachama wa timu ya michezo | SV Henstedt-Ulzburg ![]() |
Mchezo | Mpira wa miguu ![]() |
Busem Şeker (alizaliwa Julai 19, 1998) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki na ambaye anacheza katika Ligi daraja la Kwanza ya Wanawake nchini Uturuki katika timu ya Konak Belediyespor akivaa jezi nambari 10. Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uturuki.[1] [2] [3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Oyuncular – Futbolcular: Busem Şeker (Turkish). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 8 April 2017.
- ↑ Turkey 3–0 Montenegro. FIFA Women's World Cup. Iliwekwa mnamo 8 April 2017.
- ↑ Kadın A Milli Takımı, Karadağ'ı 3–0 yendi (Turkish). Türkiye Futbol Federasyonu (6 April 2017). Iliwekwa mnamo 8 April 2017.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Busem Şeker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |