Bugongi, Sheema, Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


318
Majiranukta: 00°38′08″S 30°15′10″E / 0.63556°S 30.25278°E / -0.63556; 30.25278
Country Uganda
Mikoa Mkoa wa Magharibi
Mkoa mdogo
Wilaya Wilaya ya Sheema
Serikali
 - Mayor
Mwinuko
Idadi ya wakazi (2014 Census)
 - Wakazi kwa ujumla 11,547
Ramani ya Uganda

Bugongi ni mji uliopo mashariki mwa Uganda. Ni kitovu cha mji katika wilaya ya Sheema.

Mahali[hariri | hariri chanzo]

Mji huu upo kandokando ya barabara ya Kabwohe-Kitanga nchini Uganda, takribani kilomita 17 kwa barabara, kusini mashariki mwa manispaa ya Sheema, ambapo makao makuu ya wilaya yapo.[1] Hii ni takribani kilomita 13, kwa barabara, kaskazini mashariki mwa Kitagata.[2] Majira nukta ya mji huu ni: 0°38'08.0"S, 30°15'10.0"E (Latitude:-0.635556; Longitude:30.252778). Bugongi ipo katika mwinuko wa wastani wa mita 1545, kutoka usawa wa bahari.[3]

Maelezo ya jumla[hariri | hariri chanzo]

Manispaa ya mji wa Bugongi ina ukubwa wa kilomita za mraba 36.3 au ekari 9,000. upo kado kando ya barabara ya vumbi yenye urefu wa kilomita 30 inayounganisha Mbarara–Ishaka hadi barabara ya Ishaka–Kagamba.[4] Raisi wa Uganda, Yoweri Museveni, katika tukio zaidi ya moja, aliahidi kuiwekea lami barabara inayopita Bugongi na kuhudumia mitaa yakea.[5][6]

Idadi ya watu[hariri | hariri chanzo]

Sensa ya watu na makazi ya iliyofanyika Agosti 2014, iliiorodhesha halmashauri ya mji wa Bugogi kuwa ina idadi ya watu wapatao 11,547, ambapo 5,995 (51.9%) ni wanawake na 5,552 (48.1%) walikuwa ni wanaume. Wakati huo, idadi ya watu katika mji ilikuwa 318/km2 (820/sq mi).[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Globefeed.com (9 August 2018). "Distance between Kabwohe, Uganda and Bugongi, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Globefeed.com (9 August 2018). "Distance between Bugongi, Uganda and Kitagata, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Geoview (9 August 2018). "Elevation of Bugongi, Sheema, Uganda". Geoview.Info. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Globefeed.com (9 August 2018). "Distance between Kabwohe, Uganda and Kitagata, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Alfred Tumushabe, and Colleb Mugume (14 January 2016). "Museveni to tarmac Sheema roads, compensate Muslims" (Cached from the Original). Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. Administrator (20 July 2018). "Museveni Campaigns For Elioda In Sheema". New Vision. Kampala. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Uganda Bureau of Statistics (November 2014). "National Population and Housing Census 2014: Subcounty Report: Western Region: Sheema District" (PDF). Kampala: Uganda Bureau of Statistics. uk. 329. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-13. Iliwekwa mnamo 9 August 2018.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)