Bongoland II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bongoland II
BongolandII.jpg
Posta ya Bongoland II
Imeongozwa na Josiah Kibira
Imetayarishwa na Josiah Kibira
Imetungwa na Josiah Kibira
Nyota Peter Omari
Thecla Mjatta
Ahmed Olotu
Shafii Abdul
Chemi Che-Mponda
Sabrina Rupia
Hamisi Abdallah
Hashim Kambi
Sinematografi Samuel Fischer
Imehaririwa na Lucas Langworthy
Imesambazwa na Kibira Films
Imetolewa tar. 5 Aprili, 2008
Ina muda wa dk. 100
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

'Bongoland II ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2008 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Peter Omari, Thecla Mjatta, Ahmed Olotu, Shafii Abdul, Chemi Che-Mponda, Sabrina Rupia, Hamisi Abdallah na Hashim Kambi. Filamu inahusu kijana mmoja (Peter Omari kacheza kama Juma) anayejaribu kurudi nyumbani, Bongoland, kuja kuangalia maisha ya hapa vipi baada ya kushindwana na maisha ya huko nchini Marekani. Anakuta maisha ya Bongoland ni magumu kulivyo alivyodhani na mbaya zaidi anajua siri mbaya inayoisibu familia yake. [1][2][3] Kazi ya uaandaaji washiriki kwa Dar es Salaam ilifanywa na Gervas Kasiga aliyesimamia usaili huu kwa Tanzania. Hii ni sehemu ya pili ya toleo la kwanza la filamu hii ambayo ilitoka mwaka 2003.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bongoland II katika wavuti yake
  2. seti ya filamu ya Bongoland II katika blogu ya Issa Michuzi.
  3. Bongoland II katika wavuti ya LetterBoxd