Bob Donaldson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Donaldson (27 Agosti 1868 - 28 Aprili 1947) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu.

Donaldson alicheza katika timu ya mpira ya AirDrieonean F.C na Blackburn Rovers F.C. Kabla ya kujiunga na timu ya Newton Heath mwaka 1892. Alifunga magoli 66 katika maonyesho ya 147 ya Newton Heath. Magoli haya aliyafunga wakati timu yake ikicheza na timu ya Blackburn Rovers tarehe 3 Septemba mwaka 1892.[1] Donaldson alistaafu kucheza mpira wa miguu mwaka 1897.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Club History: Newton Heath 1877-1902". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 March 2007. Iliwekwa mnamo 27 November 2006.  Unknown parameter |df= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Donaldson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.