Nenda kwa yaliyomo

Blessing Diala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Blessing Nnabugwu Diala
Amezaliwa 8 Desemba 1989
Gaborone
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji soka

Blessing Nnabugwu Diala (alizaliwa 8 Desemba 1989,Gaborone) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria. Blessing anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya ligi ya wanawake ya Equatorial Guinea iitwayo Deportivo Evinayong.[1][2]

Heshima na tuzo

[hariri | hariri chanzo]

Timu ya taifa

[hariri | hariri chanzo]

Equatorial Guinea

  • Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake: 2008
  1. "7th African Women Championship - PLAYERS LIST" (PDF). CAF. uk. 3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 28 Septemba 2012. Iliwekwa mnamo 7 Desemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Official squad list 2011 FIFA Women's World Cup". FIFA. 17 Juni 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blessing Diala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.