Bihanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani eneo la Uganda
majira nukta (0°04'40.0"N, 30°36'35.0"E (latitudo:0.077778; longitudo:30.609722))

Bihanga ni kijiji katika wilaya ya Ibanda, mkoa wa Magharibi mwa Uganda.[1] ni eneo la makao makuu ya Parokia ya Bihanga, kaunti ndogo ya Nyamarebe[2].

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Bihanga ipo takriban kilomita 81 kwa barabara kutokea kaskazini mwa Ibandaambao mji mkubwa katika wilaya ya Ibanda na eneo la makao makuu ya wilaya. [3].Takriban kilomita 154 kutokea kaskazini mwa Mbarara ambao ni mji mkubwa zaidi katika mkoa wa magharibi mwa Uganda.[4] pia ni takriban kilomita 303 kwa barabara kutokea kusini magharibi mwa Kampala mji mkuu wa Uganda na jiji kubwa zaidi nchini Uganda[5].Ikiwa na majira nukta (0°04'40.0"N, 30°36'35.0"E (latitudo:0.077778; longitudo:30.609722)).[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. National Geospatial-Intelligence Agency (16 July 2018). Geographical Names: Bihanga, Uganda. Geographic.Org Quoting National Geospatial-Intelligence Agency.
  2. LCMT.Com (16 July 2018). Bihanga Parish, Nyamarebe sub-county, Ibanda District, Western Region, Uganda (Includes A Map). LCMT.Com.
  3. Globefeed.com (16 July 2018). Distance between Ibanda, Uganda and Bihanga, Uganda. Globefeed.com.
  4. Globefeed.com (16 July 2018). Distance between Main Post Office, Mbarara, Uganda and Bihanga, Uganda. Globefeed.com.
  5. Distance between Uganda Post Office, Kampala Road, Kampala, Uganda and Bihanga, Uganda. Globefeed.com (16 July 2018).
  6. Kigezo:Google maps