Nenda kwa yaliyomo

Beverley Palesa Ditsie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beverley Palesa Ditsie

Amezaliwa 1971
Orlando
Nchi Afrika Kusini



Beverley Palesa Ditsie (alizaliwa Orlando Magharibi, Soweto, Afrika Kusini, 1971) ni mwanaharakati wa wasagaji, msanii, na mtengenezaji wa filamu wa Afrika Kusini. [1] [2] Ditsie ni mmoja wa waanzilishi wa shirika la kutetea haki za mashoga Gay and Lesbian Organization of Witwatersrand.

Katika kuzungumza juu ya umuhimu wa kuzingatia haki za mashoga katika muktadha wa haki za binadamu katika mkutano wa 4 wa Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake mjini Beijing mwaka 1995, alikuwa mwanamke wa kwanza kufanya usagaji waziwazi. Pia ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa kushughulikiwa masuala ya ushoga, [3] huku Ditsie akisema, "ikiwa mkutano wa dunia juu ya wanawake ni kushughulikia matatizo ya wanawake wote, ni lazima kutambua vile vile kwamba ubaguzi unaotokana na mwelekeo wa kijinsia ni ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu”.

  1. Matebeni, Zethu (2011). "TRACKS: Researching Sexualities Walking AbOUT the City of Johannesburg". Katika Tamale, Sylvia (mhr.). African Sexualities: A Reader. Pamabazuka Press. ku. 50–52. ISBN 978-0857490162.
  2. A discussion on LGBTIQA+ rights in South Africa (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2019-12-17
  3. "Simon and I". Steps For the Future. 14 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beverley Palesa Ditsie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.