Betty Mkwasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Betty Mkwasa (alizaliwa tar.) aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Bahi na Mvomero katika serikali ya awamu ya nne nchini Tanzania [1].

Pia ni mwandishi na mtangazaji wa habari wa zamani, alifanya kazi na kampuni ya utangazaji ya IPP.

Maisha ya Ndoa[hariri | hariri chanzo]

Alifunga ndoa na Charles Boniphace Mkwasa ambapo tarehe 18 Januari 2014 walisherehekea jubilei ya miaka 25 ya ndoa yao katika ukumbi wa Budget Entertainment Resort uliyopo Dar es Salaam.[2]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Betty Mkwasa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]