Nenda kwa yaliyomo

Bernard Feringa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bernard Feringa

Bernard Lucas „Ben“ Feringa (amezaliwa 18 Mei 1951) ni mwanakemia kutoka nchi ya Uholanzi.

Hasa alichunguza jinsi molekuli kubwa zinaweza kuunganishwa kwa shabaha ya kuunda injini ya kimolekuli. Mwaka wa 2016, pamoja na Jean-Pierre Sauvage na James Fraser Stoddart alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia kwa michango yake ya kubuni na kuunda injini za kimolekuli[1][2][3] [4].

  1. "for the design and synthesis of molecular machines"
  2. Staff (5 Oktoba 2016). "The Nobel Prize in Chemistry 2016". Nobel Foundation. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Chang, Kenneth; Chan, Sewell (5 Oktoba 2016). "3 Makers of 'World's Smallest Machines' Awarded Nobel Prize in Chemistry". New York Times. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Davis, Nicola; Sample, Ian (5 Oktoba 2016). "live". theguardian. Iliwekwa mnamo 5 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

5 Things to Know About ‘Molecular Machines’ , Time Magazine Oct. 5, 2016, iliangaliwa 23.10.2016

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernard Feringa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.