Benki ya Equity

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benki ya Equity Tanzania Limited ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ni ya pili kiuchumi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Imesajiliwa na Benki ya Tanzania, Benki kuu na mdhibiti wa kitaifa wa benki nchini.[1][2]

Benki hiyo ni mwanachama wa Equity Group Holdings Limited, moja kati ya taasisi za biashara kubwa zaidi, iliyo na makao makuu yake Nairobi, Kenya, ikiwa na matawi Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Msumbiji, na Zambia.[3]

Hadi septemba 2014, Benki ya Equity Tanzania Limited imemiliki mali yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 143.42, na dola za kimarekani milioni 107.68 katika amana ya wateja na kitabu cha mkopo dola za kimarekani milioni 87.1. BBT ni mtoaji mkubwa wa huduma za kibiashara Tanzania, kutumikia mashirika makubwa, biashara ndogo hadi za kati, na watu binafsi. Kuanzia Machi 2013 mali yake yote ilikuwa na thamani ya karibia $ 382,000,000 (TZS: bilioni 634.34). [4] Kuanzia Disemba 2013, benki hii ilikuwa na wateja 87,000.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bank of Tanzania (2019). "Directory of Commercial Banks Operating In Tanzania". Dar es Salaam: B (BOT). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 5 July 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Bank of Tanzania (20 February 2012). "Bank of Tanzania Issues Commercial Banking License To Equity Bank Tanzania Limited" (PDF). Bank of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 13 November 2014.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Victor Juma (5 July 2019). "Equity deal adds 2,641 new staff to payroll". Business Daily Africa. Nairobi. Iliwekwa mnamo 5 July 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Corporate Digest, . (18 May 2013). "Barclays Bank Tanzania Manages To Cut Expenses". Corporate-Digest.Com. Iliwekwa mnamo 9 November 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Ndzamela, Phakamisa (9 June 2014). "Barclays To Keep Two Tanzanian Banks". Business Day (South Africa). Iliwekwa mnamo 9 November 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Equity kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.