Ben Hanson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ben John Hanson ni mwandishi wa vitabu vya fasihi.

Aliandika riwaya ya Takadini katika fasihi ya Kiingereza inayohusu utamaduni wa maisha ya watu wa Zimbabwe ambao walikuwa wanaua walemavu wa viungo pamoja na walemavu wa ngozi, ili watu waweze kupata busara na mafunzo yaliyomo katika kitabu chake.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ben Hanson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.