Nenda kwa yaliyomo

Basanti Devi (mwanamazingira)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Basanti Devi akiwa na tuzo mnamo 2016.

Basanti Devi ni mwanamazingira nchini India. Amekuwa akijihusisha na kuhifadhi miti huko Uttarakhand. Alitunukiwa tuzo ya juu zaidi kwa wanawake nchini India, ikitoleawa na Nari Shakti Puraskar mnamo mwaka 2016.

Devi katika ujana wake alikua Kausani katika Lakshmi Ashram ambayo ni ashram ya Gandhi kwa wasichana wachanga iliyoanzishwa na Sarla Behn.[1]Alienda huko Mnamo mwaka 1980 baada ya mumewe kufariki akiwa mjane akiwa na umri mdogo sana baada ya kuolewa akiwa na umri wa miaka kumi na miwili. Alikuwa ameenda shule kabla ya kuolewa lakini alikuwa na uwezo wa kusoma tu. Katika Ashram aliendelea kusoma baada ya kufikia kiwango cha 12, na akapendezwa na kufundisha.Mshahara ulikuwa duni lakini babayake aliidhinisha kazi hiyo.

  1. "About the Ashram – Friends of Lakshmi Ashram" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Basanti Devi (mwanamazingira) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.