Bakri Osman Saeed
Mandhari
Bakri Osman Saeed ni mwanasayansi wa tiba, rais wa Chama cha Vyuo Vikuu vya Afrika[1][2]; alikuwa Mkuu wa Kwanza wa Chuo cha Tiba cha Kimataifa cha St George.
Alikuwa rais wa Chama cha Wanafunzi wa Sudan huko Uingereza na Ireland, London, (1982-1983).[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.universityworldnews.com/post.php?story=20231016140937661
- ↑ https://www.universityworldnews.com/post.php?story=20230710113237957
- ↑ https://sdgsuniversities.org/listing/bakri-saeed/
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bakri Osman Saeed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |