Nenda kwa yaliyomo

Bafe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bafe
Moma wa kawaida au bafe Bitis arietans
Moma wa kawaida au bafe
Bitis arietans
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Serpentes (Nyoka)
Oda ya chini: Alethinophidia (Nyoka wasio vipofu)
Familia: Viperidae (Nyoka walio na mnasaba na kipiri)
Oppel, 1811
Jenasi: Bitis
Gray, 1842
Spishi: B. arietans
Merrem, 1820
Msambazo wa kiasili
Msambazo wa kiasili

Bafe au moma wa kawaida ni nyoka mwenye sumu wa jamii ya kifutu anayepatikana savannah na nyasi katika Moroko na kusini magharibi mwa Arabia na hasa kote Afrika Kusini kwa Sahara isipokuwa katika maeneo ya misitu na ya mvua.

Ni nyoka pekeee ambaye anazaa kama mamalia na ana uwezo wa kuzaa mpaka watoto 50 kwa wakati mmoja. Ana idadi ya meno 32 katika mdomo wake.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bafe kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.