Baahubali The beginning

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baahubali: The beginning ni filamu ya utendi ya India ya mwaka 2015 iliyoongozwa na S. S. Rajamouli.

Filamu hiyo ilitengenezwa na Shobu Yarlagadda na Prasad Devineni. Filamu hii pia ilibuniwa katika Kimalayalam na Kihindi. wahusika wakuu wa filamu hii ni Prabhas, Rana Daggubati, Anushka Shetty, na Tamannaah katika majukumu ya kuongoza, na Ramya Krishna, Sathyaraj, na Nassar katika jukumu la kusaidia.

Filamu inamuhusu Sivudu, kijana anayesaidia upendo wake, shujaa aliyekusudia kumwokoa malkia wa zamani wa Mahishmati. Katika mchakato huo, anajifunza juu ya cheo chake cha kweli kama mrithi wa kiti cha enzi cha Mahishmati, mwana wa Amarendra Baahubali, ambaye hadithi yake imesimuliwa na Kattappa, shujaa mwaminifu.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baahubali The beginning kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.