Azziad Nasenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Azziad Nasenya

Azziad Nasenya
Amezaliwa 16 Juni 2000
Kenya
Kazi yake mwigizaji, muandaaji wa filamu, na mhusika wa mitandao ya kijamii kutoka Kenya.

Azziad Nasenya (amezaliwa 16 Juni 2000) ni mwigizaji, muandaaji wa filamu, na mhusika wa mitandao ya kijamii kutoka Kenya. [1][2] Ni maarufu sana kwa jina la East Africa’s TikTok Queen. [3][4][5] Amekuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii tangu mwaka 2018.

Maisha ya zamani[hariri | hariri chanzo]

Azziad Nasenya amezaliwa Mumias, amekulia Kakamega na Nairobi. Azziad amesoma katika shule ya central Primary School, Mumias, Cathsamschool, Nairobi na hatimaye akamaliza shule ya msingi katika shule msingi ya wasichana Lugulu akiwa bwenini. Baadae alienda katika shule ya St.Cecilia Misikhu Girl’s High School, na kumaliza shule ya sekondari mwaka 2017. Azziad alianza kuigiza na kucheza mziki shuleni akiwa darasa la pili [6] ( akiwa na miaka 17) na akaendeleza kukuza kipaji chake akiwa shule ya sekondari. Mnamo mwaka 2017, baada ya kumaliza shule ya sekondari , Azziad alijiunga na kikundi kinachoitwa The Hearts of Art Theatre Group nchini (Nairobi, Kenya) [7] Her first role in the Group was as a supporting cast in the play Repair my Heart in March 2018.Jukumu lake kubwa kwenye hii kikundi ni kuongoza kwenye filamu inayoitwa ''Repair'' my Heart mnamo mwaka 2018 [8] kati ya mwaka 2018 na mwaka 2019 Azziad alipewa nafasi ya kushiriki kwenye jukwaa mara saba na kikundi cha Hearts of art [9] Akiwa anafanya maonesho kwa hicho kikundi alikutana na meneja wake wa sahivi, Peter Kawa, ambae ni mwigizaji, mwongozaji na muandaaji wa filamu. [10][11]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azziad Nasenya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.