Azam Two

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azam Two ni kituo cha matangazo ya televisheni kirushacho matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki. Kituo hiki cha matangazo kinamilikiwa na kampuni ya matangazo Azam Media Group. Kampuni hii inamiliki vituo vingine mbali na kituo hiki, vituo hivyo ni kama vifuatavyo: