Azam One

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azam One ni kituo cha matangazo ya televisheni kinachorusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki. Kituo hiki cha televisheni kinamilikiwa na kampuni ya Azam Media Group ambayo ni mali ya mfanyabiashara tajiri wa nchini Tanzania aitwaye Said Salim Bakhresa.

Kampuni hiyo inamiliki king'amuzi cha Azam, pia inamiliki kituo kingine cha matangazo ya televisheni kiitwacho Azam Two. Pia ina vituo vingine kama vile Sinema zetu, Azam Sports HD na Azam sports HD 2.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azam One kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.