Azad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Azad

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Azad Azadpour
Asili yake Sanandaj, Iran
Aina ya muziki Rap, Hip hop
Miaka ya kazi 1988 - hadi sasa
Studio Bozz Music
Tovuti Official website


Azad Azadpour (amezaliwa 1 Januari 1974) ni rapa kutoka nchini Ujerumani. Ana asili ya Kikurdi, lakini shughuli zake anafanyia mjini Frankfurt am Main.

Aliwasili nchini Ujerumani akiwa mtoto mdogo wa umri wa miaka 10 - akitokea Iran, alipenda sana hip hop, rap, beatboxing na graffiti. Mwaka wa 1988 amejiunga na D-Flame (Daniel Kretschmer), A-Bomb, na Combad kwenye Cold-N-Locco. Bendi hiyo ilibadilishwa jina mnamo mwaka wa 1990 na kuwa Asiatic Warriors na kuanza kuchanganya manyimbo yao kwa lugha ya Kijerumani, Kiingereza, Kiajemi na Kikurdishi na kupata umaarufu kabambe kwa kuingia mkataba na studio ya Ruff'n'Raw na EP Told Ya!. Tofauti za kindani baina ya wanachama wa Asiatic Warriors imepelekea kundi kuvunjika.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Nafasi ya chati
DE AT CH
2001 Leben 46
2003 Faust des Nordwestens 24
2004 Der Bozz 10 66
2005 One (with Kool Savas) 5 32 33
2006 Game Over 8 48 28
2007 Blockschrift 37 59 39
2009 Azphalt Inferno 24 55 29
2009 Assassin 31 52 27
2010 Azphalt Inferno II 18

Single zake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Nafasi ya chati Albamu
DE AT CH
2001 Napalm Leben
Gegen den Strom
Leben
2003 A 65 Faust des Nordwestens
Faust des Nordwestens
Mein Licht
2004 Phoenix 65 Der Bozz
Kopf hoch (feat. Jonesmann) 57
2005 Signal (J-Luv feat. Azad) 52
Locked Up (Akon feat. Azad & Styles P.) 15 Trouble (Akon)
Monstershit (with Kool Savas) 29 One
All 4 One (with Kool Savas) 4 24 85
2006 Guck My Man (with Kool Savas) 27
Alarm 48 Game Over
Eines Tages (feat. Cassandra Steen) 28
2 Kaiser (with Seryoga) 85
2007 Prison Break Anthem (Ich glaub' an dich)
(feat. Adel Tawil)
1 12 13 Blockschrift
Zeit zu verstehen (This Can't Be Everything)
(feat. Gentleman)
30 72
2008 Alles Lügen/ Ghettobass 74
On Top (with Kool Savas) Tot oder Lebendig (Kool Savas)
2009 Klagelied (wie lang) (with Tino Oac) 92 Assassin

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]