Arturo Vidal
Mandhari
Arturo Vidal (alizaliwa 22 Mei 1987) ni mchezaji mpira wa miguu ambaye hucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji au kiungo mkabaji.
Mchezaji huyu, mwenye umri wa miaka 33 kamili, anachezea timu ya taifa ya Chile na ni mchezaji wa timu ya La liga ambayo inaitwa Barcelona na ndiyo timu ambayo anaichezea mpaka sasa.
Arturo Vidal alishawahi kuchezea timu za ligi mbalimbali kama; ligi ya Italia, ligi ya Ujerumani na nyingine nyingi ambazo alishawahi kuzichezea mchezaji huyu.
Jina kamili la mchezaji huyu ni Arturo Erasmo Vidal Pardo.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arturo Vidal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |