Arno Greeff
Mandhari
Amezaliwa | Arno greeff Johannesburg,Gauteng,Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 2012-mpaka sasa |
Ndoa | Mke Iluska Nagy on 13 Oktoba 2022 |
Arno Greeff (Alizaliwa mnamo Machi 4 1995) ni muigizaji Afrika Kusini. Anajulikana kwa uhusika wake kama Chris Ackerman kwenye mfululizo wa filamu za Netflix kama Blood & Water (South African TV series) |Blood & Water
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Greeff anatoka Johannesburg alianza uigizaji shuleni akiwa na umri wa miaka 16 na alijiunga na Helpmekaar Kollege mnamo mwaka 2013.[1] [2][3]
Maisha Binafsi
[hariri | hariri chanzo]Greeff alimuoa Iluska Nagy mnamo tarehe 13 Oktoba 2022.[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kamogelo, Bandile (15 Juni 2021). "Getting To Know Blood and Water's Arno And Dillon". ZA News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-09. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Thangevelo, Debashine (27 Juni 2020). "Arno Greeff expands on his pansexual character in 'Blood And Water'". IOL. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Broide, El (27 Mei 2020). "Arno Greeff on his career-defining role as Chris on 'Blood & Water', the importance of the series for Africa, and his next move". The House of Pop. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Matiwane, Nonkululeko (30 Mei 2022). "PICS - Blood & Water star Arno Greeff proposes to girlfriend and she said 'Yes'". Drum. Iliwekwa mnamo 13 Oktoba 2022.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arno Greeff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |